viwango vya kimataifa vya ubora

" Tuna lengo la kutengeza bidhaa bora, zinazo ambatana na viwango vya kimataifa vya ubora, na kwa bei zinazoweza kushindana. Tunajitolea kuhakikishia ubora wa huduma ya wateja, na kila mara kuwezesha kuweko kwa viwango vya juu vya utengezaji pamoja na kusafirisha bidhaa kwa wateja kwa wakati unaofaa"

Katika shirika la Arasan Match Industries, tumefanya kudumishwa kwa viwango vya ubora kwote katika ngazi za utengezaji kuwa ndio sera yetu. Makini ya hali ya juu zaidi inahakikisha kuweko kwa hali ya ubora wa juu kabisa, kwanzia tu pale tunapo anza kupokea mali ghafi ya uundaji hadi tunapowasilisha bidhaa hizo.

Muundo msingi wetu unajumuisha maabara ya daraja la kimataifa, ambapo kila kitu kikubwa au kidogo kinafanyiwa majaribio kamili. Kila bidhaa ya shirika la Arasan Match Industries inafanyiwa majaribio haya. Tumehakikisha kuwa viwango vyetu vya ubora vinaambatana na vile vya bidhaa za hali ya juu zaidi ulimwenguni.

Jukumu hili muhimu kabisa la kudumisha ubora umesababisha bidhaa zetu zipendwe na kila mteja ulimwenguni anayefahamu bidhaa nzuri.

 

 

| Ukurasa wa Mwanzo | Kutuhusu Sisi | Ubora | Viberit | Fataki | Uchapishaji | Contact |

viwango vya kimataifa vya ubora

 
© copyright. All Right Reserved. Powered by Nissi Infotech