Shirika la Arasan Match Industries ni kiongozi muhimu katika uchapishaji bora.
Tuna utaalamu wa kutengeneza shajara (diaries), vitabu vya vya mafunzo, kadi za
harusi, bahasha, kadi za ualishi na kalenda.
Kwa
sababu tuna utaalamu na uhodari wa zaidi ya miongo minne katika biashara hii inayohitaji
moyo shupavu na ambayo pia ni yenye mashindano mengi, tumeweza kukuwa kutokea
hatua yetu ya chanzo chetu ambayo haikuwa na ufanisi mwingi vile, hadi kufikia
hali ya kuimarika kama kiongozi katika biashara hii. Ukifikiria mashine mbalimbali
kuanzia zile za uchapishaji wa Offset, zile za kufinika nyaraka kwa tabaka (lamination),
za kufanyia skrini, kuweka idadi, na kubandika (pasting), aina zote ya mashini
hizo za kisasa unayoweza kufikiria sisi tunayo katika idara yetu ya uchapishaji.
Hizi ni mashini zinazotuwezesha kuchapisha bidhaa za hali ya juu zaidi kila mara.
Kila
wakati kundi letu huendelea kubuni na kupata mifumo mipya zaidi, ili kutimiza
mahitaji aina mbalimbali ya wateja kwote ulimwenguni. Ujuzi wetu wa uchapishaji
unahakikisha kuweko kwa bidhaa zilizoundwa kikamilifu, na zenye bei nzuri kuliko
zile za washindani wetu.
Kwa
kuwa tunavumbua matumizi katika maisha ya kila siku, basi tuna suluhisho la uchapishaji
ambalo hutimiza mahitaji yote. Kisa chetu cha ufanisi kinaendelea kwasababu tunatazamia
kufikia lengo letu la kuwa bingwa asiyepingwa katika biashara ya uchapishaji.
|
Ukurasa wa Mwanzo | Kutuhusu Sisi
| Ubora | Viberit | Fataki
| Uchapishaji | Contact |