Viberit

Shirika la Arasan Match Industries ni mashuhuri kwa wingi wa bidhaa zake za viberiti vyake. Ubora wa bidhaa ni kitambulisho cha aina mbalimbali za viberiti vyetu. Tunajumuisha viwango imara vya utengezaji ili kuhakikisha utengezaji wa viberiti aina mbalimbali visivyo na kifani.

Tuna viwanda mbalimbali vilivyo imara kabisa, vyenye kufanikisha utengezaji wa kadri kubwa. Kiwango chetu cha utengezaji kinatupa fahari ya kuwa na muundo msingi muhimu kwa kukuwa kwetu. Tuna mashini imara tena za kisasa zaidi, zenye kuendeshwa na kundi la wataalamu wenye ujuzi wa hali ya juu kabisa. Tunafahamu mahitaji mbalimbali ya kila mteja na pia tuna ujuzi wa kuzitengeza bidhaa kama vile tu inavyotarajiwa, na kuligana na maagizo ya wateja.

Viberiti vyetu vinatengezwa kutokana na rasilimali halisi. Kila kiungo kinachotumika katika uandalizi kinafanyiwa majaribio barabara kabla ya utengezaji wenyewe kuanza. Kusisitiza huku kwa kuwa na ubora imara ndio sababu viberiti vyetu vimekuwa bidhaa iliyo bora zaidi kuliko zote katika soko.

Tuna fahari kubwa kabisa kueleza kwamba viberiti vyetu: vinasafirishwa na kufikia wateja katika nchi mbalimbali za kimataifa katika bara la Afrika, Amerika na Ulaya. Tuna idara ya kipekee inayoshughulikia uuzaji wa kimataifa.

Packing

No. of Sticks
Size of the Box in mm
Size of the Sticks in mm
Packing Details
Occupancy in a 40' HC container
40's51x36 12 42 mm 10 Boxes = 1PVC Pkt.
10 PVC Pkts = 1Poly Bag
10 Poly Bags = 1 CARTON
2400
50's51x36 1442 mm10 Boxes = 1PVC Pkt.
10 Boxes = 1Poly Bag
10 Boxes = 1 CARTON
2200
50's Wax 40x33 1/2x 12 32 mm10 Boxes = 1Printed Wrapper Pkt.
10 P.Wrapper Pkts = 1Poly Bag
20 Poly Bags = 1 CARTON
1450

Click on the image to enlarge
Safety Matches
Various Types of Safety Matches
Safety Matches
Various Types of Safety Matches
Safety Matches
Various Types of Safety Matches
Safety Matches -Carton Box Packing
Carton Box Packing
Safety Matches -Damp Proof Testing
Damp Proof Testing
Safety Matches - Splints Processing
Cardboard Skillet Processing
Safety Matches  Making Machine
Match Making Machine

Splints Processing

| Ukurasa wa Mwanzo | Kutuhusu Sisi | Ubora | Viberit | Fataki | Uchapishaji | Contact |

Viberiti vyetu vinatengezwa kutokana na rasilimali halisi

 
© copyright. All Right Reserved. Powered by Nissi Infotech