viberiti aina mbalimbali

Shirika la Arasan Match Industries ni mojawapo ya waundaji wakuu na wauzaji ng'ambo wa viberiti na fataki katika India. Shirika la Arasan Match Industries bila shaka linadhihirisha hali imara ya namna Sivakasi, ambayo ni eneo kiini ya viwanda vya kutengeneza vibiriti katika India inavyofanya biashara. Kujitolea kwetu kwa dhati ili kuweza kufikia viwango vya juu zaidi vya ubora kumetuwezesha kuendelea kukuwa kwa hatua kuu zaidi, katika mda wa zaidi ya miongo minne, na tukaweza kuwa shirika lenye kupendwa zaidi na wateja kwote ulimwenguni.

Shirika la Arasan Match Industries lina fahari ya kuweza kushinda tuzo mbili kubwa kutoka kwa Wizara ya Biashara na Fedha ya Serikali ya India, kwa uuzaji vibiriti katika nchi za ng'ambo. Viwango bora zaidi vya uundaji pamoja na juhudi zetu za kuzingatia kwa dhati ratiba na mipangilio ya kufikisha bidhaa kwa wateja, ndio zimetufanya tuwe maarufu kwa kila jamii.

Sifa yetu imeenea kwote ulimwenguni na viberiti pamoja na fataki zetu zinaagizwa kwa wingi sana katika masoko ya kimataifa. Thibitisho kubwa zaIdi la bidhaa zetu ni kukuwa kwa wingi wa wateja wetu wa kimataifa.

Safety Matches Making Machine
MATCH MAKING MACHINE
Safety Matches Cardboard Skillet Processing
CARDBOARD SKILLET PROCESSING

 

| Ukurasa wa Mwanzo | Kutuhusu Sisi | Ubora | Viberit | Fataki | Uchapishaji | Contact |

viberiti aina mbalimbali

© copyright. All Right Reserved. Powered by Nissi Infotech